My Last Piece (2014)

Poetry By WaseiPoet

ARTARK

God nikumbushe place nimetoka,nisikusahau
Wakati problems zimeni.face
Ndio niko BUSY bila kuku.SIGNAL nikitafuta your face
Juu wewe ndio unajua life yangu ya usoni
Kama SONY plans zako kwangu ne WEGA
Nimekuwa customer wa daily kwa mama mboga
Hadi aliniuliza kama mimi ni vegeterian
But thanks kwa ile kidogo umenipa
Juu nikila muu
ra nai1040395_209302609223015_1357530907_o1.jpgona kama minced meat
God kanisa zimekuwa za kupanda mbegu
Hadi kuna yenye inaitwa mavuno
You reap what you sow?
Na mbona sijai vuna mbegu nimepanda kwa churches
Bible ya next generation itasema pia zile mbegu zilipandwa kwa miba,barabara,rocks na churches hazitamea
Naomba hekima ili niweze kutofautisha prophets wa ukweli
Na wale WANNA BE(WANABII)
Mifuko yangu ina mashimo
Ni kama keja za fuko
God please ziba
Nakubali ni enough ventilation
But dough ya leo hai.survive hadi kesho
Najua January hali hukauka
Hadi ule msee wa NGELI YA GENGE hu.experience vile JUA huwa KALI
Sitaogopa juu…

View original post 78 more words

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s