THANKS TO HIM

Poetry By Meek Juniour

DSC_0184b

#THANKS TO HIM#

So si for God so loved the world that He gave His own son.. Si uyu ndo son hakuneed 4 wheel drive for His will to be driven among us ye alikam na 4 wheel donkey na in the end ata baada ya kum crucify walikubali truly He was ever ok..
Ndo maana hii ndo Thanksgiving
Ndio thanks i give to Him.. Si vile God ameandika my His story.. Kufika this far ni His glory.. Kumbuka time nilikua kid mkora nilikua nafuata mad tracks.. But God amekua major kwa life yangu ndo maana sjawahi sahau His kansoul.. His mercy and grace ndo zimefanya nikue na faith in Him. Tym yenye kina mercy na grace walini save kwa contact list zao na nili exist kwa phonebook zao tu.. Tangu God ani save nimekua na intimate contact adi ame ni promise kuandika my name in The book of life… God mi nmekua lost son na sitaki kuwa lost under the sun.. Si we ndo father na uli ni promise kupeleka dreams zangu further.
Hii imekua a long journey si wengine walidrop kama majani bt GOD hajainiacha nifike ground.. Najua chat zangu na wew ukua ni less vile mi urudi wen am in a mess.. Si tangu nipate dental wao usema nimekua mental vile mi u proclaim love yangu kwa God haijaikua coincidental ama accidental imekua a bank safe to my hopes ndo maana ile receivership mi u chase ni blessings tu.. Nataka kuwa frank vile God amekua king kwa life yangu vile franking amekuwa such a blessing.. Na benjie amekua such an inspiration.. Vile swagnation imekua a revelation of ur luv.. Bad times zimekua but si ulituanbia izi shida huwa hazimei kama crop.. Bado hatujaifika top but still tuko na hope vile alitusho tunaeza cope any obstacles na tutakua better kuliko jana.. Ndo maana kila tym si uimba….. Bwana ni mwokizi wangu tena ni kiongozi wanguu ananipenda leo kuliko jana………………………………………………………………..

@MeekJunr

#SwagNation_Ke

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s