NATAKA AMANI

index

Poetry By K-Lax

Nataka Amani
Nataka Amani Design Amani Huwa ametulia Akikula kuku na kina Elani,
Nikiwa Highschool nilifunzwa kuishi kwa umoja,nikaambiwa United we stand,Sikupewa term ya kuketi, nikaambiwa Divided we fall.

Inaniuma..
Personally
Ile kitu nimeapa kupiga,,,ni kura lakini si my fellow kenyan,
Jomo Kenyatta,Oginga Odinga na Bila Kusahau our Hero Dedan,
Am Sure wakipigania uhuru They never fought their fellow Kenyans.

Inaniuma..
To the extent that Roho Zetu Zinacheza raga Bpm tu ndo inapanda,
Macho yetu yanaogelea,Yamezoea lunch ya teargas,
Kumwaga damu si kitu tamu twajiumiza sisi wanadamu
Sioni haja ya kupigana, ilhali akili zetu ziko timamu

Inaniuma..
Ningekuwa Muuaji ningeua ukabila hadi serikali iniandikie Most Wanted,
Ningekuwa Daktari,Ningetengeza Dawa
Vaccine Ya Ukabila ipeanwe free of charge
You can move far alone but move even further with others,
So Lets have The One Love and care for one another.
Thus Nataka Amani coz..
The Devil is A liar NCR tutakwambia,
Plans zake kututawanya Hazitamek kupata njia,
na kama anafikiria ukabila Ndio tactic atatumia,
Then its high time ajue that my Tribe is One.My Tribe Is Kenya.
Nataka Amani,Na nina Imani Jalali atatufanikishia.
#Peace4Kenya #SwagNation_Ke #OneTribeOneKenya

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s