Spokenword by Isaac Kivai

zacTumeskiza SPOKEN Word mingi bila kuskiza what the SPEAKING Voice kwa Bible Alisema,
John 1:1 inatushow vile in the beginning kulikuwa na Word na God ndo alikuwa WORD, ”
so Nikisema Word simaanishi verb ama NOUN but Love ya Christ ndo na-aNOUNce,
HII STORY ya His Love ni deep kuliko Bermuda triangle kwa HISTORY,
Walisema kiendacho kwa mganga hakirudi lakini nilienda kwa Christ na nimetravel kutoka Tanga hadi Burundi. Alituambia Anataka tuworship in Truth and in Spirit,
Juu Yeye ndo Truth na kwa trinity bado Yeye ndo Holy Spirit,
Lakini tutainulia God mHoly mikono unholy kiaje?
Tunajificha kanisani lakini tuko featured kwa dhambi ndani ndani,
Tunajua what is required of us Lakini tukilemewa tunasema God ni mkali yet tukilemewa bado ako hapo anatujali,
Kama kitu ni will ya God basi pia bill ni yake basically,
Nilitaka gas lakini nashukuru Mungu kwa makaa,
Hata asipofungua mlango I’ll still praise Him in the hallway,
Hata nisipopata gari nitapraise nikitembea all the way.

#SwagNation_Ke

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s