Situmiki Vibaya – K-lax

4darnjif

*✌SPOKEN WORD✌*

*✌Situmiki vibaya✌*

*✌          K-lax          ✌

Kama Tissue zingekuwa na mdomo wengi wetu tungekuwa jela

“Nilimwagiliwa maji nkararuka,,wakakosa saviet wakantumia,,”

“Wanadamu ndio malandlord na septic tank ndio keja mi hurent,,”

“Napendwa sana in the beginning but in the end mi ni waste product.”
The same thing ndio tumeona ikihappen in our political climate

Normal citizens tumekuwa kama tissue,,and i better say this now before its 2 late

Yaani mimi ndio nakusaidia ,,unafaidika na ukisaidika ninadumpika..

This time round i got One word for you.

NO.. *Situmiki vibaya*
Najua huyu neigbour wangu anaitwa peter

Na mi huwasalimia kila morning na madam wake wakipita

Ile saying ya salimianga watu  kiberiti huisha kwangu na yeye ni practical

So In No way shall i ever be an enemy to my neighbour,,mtu tunasaidiana daily

In. No way shall i fight my fellow kenyan eti juu yako..

Still one word for you

NO.. *Statumika vibaya*
I Choose *Peace*

I Choose *Love*

I Choose *Unity*

I choose *Kenya*

Haiya…

By the way Naitwa K-lax yule wa NCR

Lecturer wangu nI The Most High God,

Course nafanya ni Architecture juu kuchonga mistari ndio Passion yangu.
Peace✌✌

We Are One 🇰🇪

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s